Kabla ya kufunga GPS Kwenye tv zingatia haya
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni...