Habari wakuu, naomba msaada
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB.
Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
Nmeomba mkopo wa chuo kikuu ni mwaka wa tatu Sasa sijafanikiwa kwenda chuo. Kwasababu ya kukosa mkopo. Je ni njia gan nitumie niweze kupata mwaka huu? Au ni vizuri nikajiunge na vyuo vya kati? Naomben mawazo hapo........
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri.
Mimi naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.