Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakuna chama chochote ambacho kina mamlaka ya kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu na siyo matakwa ya chama hicho kufanya uchaguzi bali wanafuata kanuni na sheria za katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutaka...