Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty.
Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu.
Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
Kitakachofanywa na hospitali za Rufaa na hospital kuu kama Muhimbili ni kutotoa huduma yoyote ya msingi kwa mgonjwa kama hajalipia pesa kwenye huduma husika.
Yes mpaka sasa ndicho kinachofanyika ila pindi serikali itakapotumia ubabe kuweka zuio la maiti kwenye hospital za umma hali itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.