kuzaa nje ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  3. JamiiForums Tanzania Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

    Katika ujana wangu, nilikuwa mlafi sana; nilikuwa nikiona tu pisi kali inayoshawishi na kuuteka moyo wangu, nitaanzisha naye mahusiano na hatimaye tunajikuta tayari tuna mtoto; ingawa tangu mwanzoni huwa nawaambia mimi ni mme wa mtu,lakini wao hawajali. Hii imenipelekea kuwa na watoto 6 nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…