Simu yangu imepotea juzi kati. Nilikuwa nimeenda sehemu kupata chakula, na tangu wakati huo sijafanikiwa kuipata. Nikiangalia kupitia portal ya "Samsung Find My Mobile", kwa kuwa nilikuwa nimeSet kuweza kuifuatilia hata ikiwa offline, naona imekuwa ikionyesha maeneo fulani ambayo nayafahamu na...