Habari za wakati huu,
Maranatha ya Kabwe Mbeya kwanin hamtupi wateja risiti???? Nimelipia dawa ya kupaka ya gram 50 nimepewa ya gram 20 nimeondoka bila kukagua nafika nyumbani naona tofauti, kurudi siwezi maana sina risiti.
Na hii sio kwangu tu nilisikia na kwa mwingine. Maranatha zote...