Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ADC, Mwalimu Hamad Azizi, amesema mkutano huo utafanyika tarehe 29 Juni 2025, ukiwa ni sehemu muhimu ya maandalizi ya chama hicho kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu, katika kuhakikisha kuwa kinapitisha wagombea imara na wenye uwezo wa kushindana...