Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo ukikosea katika utaratibu huo basi haki yako inageuka kuwa kaa la moto hata kama ni jambo la faida...