Inanitafakarisha sana hii
Yaani huwa najiuliza maswali mengi sana nikiona mwanamke wa hivyo miaka 40, 45, 47, 49, 50 huna mume na hujawahi hata kuolewa hata mara moja yaani hata mara moja kwenye CV yako ya mahusiano
Najiuliza huko ukiwa na miaka 20 na 19 na 18 ulikua unafanyaa nini?
Why...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.