kutafuta wachumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi vijana mnaokwenda MR RIGHT au kutafuta wachumba mitandaoni mpo sawa kweli?

    Hawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba. Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.
  3. JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanasumbuliwa na Psychological Trauma

    Muda sio mrefu nimetoka julwaa la love connect nimeshtushwa sana kuona watu wanavyowaponda watu ambao wanatafuta wachumba/ wake Wengine wanatumia mwavuli eti wanafanya utani na masihara kiukweli watu wanatrauma nyingi sana, wana-vidonda kwenye mioyo yao na wamekosa msaada. Huwezi kuwa mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…