kutafunwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama yanayosemwa ni kweli Tanzania ndio nchi inaongozwa kutafunwa

    Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana. Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa...
  2. Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…