Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi maalum wakiwemo Wazee, Yatima, Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa, Masheikh, na Maimamu wa Misikiti wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari ya pamoja alioiandaa.
Kupata...