Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia
Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa
Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?