Baadhi ya wagombewa wa nafasi mbalimbali kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar wametoa tuhuma wakati wa utekelezaji wa zoezi la kura ya mapema ambalo limefanyika leo visiwani Zanzibar
Viongozi hao ambao ni pamoja na Omar Said Shaaban Mgombea Uwakilishi Jimbo la Pangawe pamoja na Mgombea...
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.