kupoteza kadi ya crdb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mill broh

    Nimepoteza card ya ATM ya CRDB msaada wataalam

    Habari wakuu Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB, nimepoteza, na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo .. Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya, inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau? Msaada nimevurugwaaa hapa
Back
Top Bottom