kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kusanya mapato kupitia malori yenye Uchanja

    GTs, Serikali kupitia wizara ya uchukuzi iweke amri Malori yote yenye uchanja yawekewe vyuma vya kuzuia makontena kuanguka kutoka kwenye uchanja wake. Tena hii kitu inaweza fanyika kupitia Temesa, fanya kila gari ikawekewa kingo 8@250,000 mara Malori yaliyopo mfano milioni mbili mapato jumla...
  2. JamiiForums Tanzania Maono: Nguvu ya kujua yajayo kupitia sauti ya roho takatifu: Clairaudience

    Katika makala hii nitazungumzia nguvu nyingine ya muujiza moja kati ya nguvu za miujiza walizonazo watu wengi ambayo ni Clairvoyance; Hii ni moja kati ya nguvu za miujiza ambayo wenye nayo huitwa clairvoyants hawa hutambulika kama watu wenye uwezo wa kuona yajayo; Chochote kinachohusu jambo...
  3. JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali awamu ya 6 kudharaulika kupitia makundi ya wahalifu

    Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka kwenye baadhi ya watumishi wachache. Vyeti feki Madawa ya kulevya Majambazi Wahujumu uchumi wezi wa...
  5. JamiiForums Tanzania GWAJIMA: Mungu huinua Watu kupitia Watu

    Nipo nasikiliza Quote za Askofu Josephat Gwajima Hakika Mungu huinua Watu kupitia Watu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…