kupinga maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simbachawene unaposema mfano Sudan, hujasema sababu unakimbilia kupinga maandamano

    Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo: • Uchaguzi feki, • Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki. Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
  2. PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  3. Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  4. Kwanini baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wanapinga matamko ya TEC na kuunga mkono Serikali?

    Wakuu kwanza naanza kwa kudeclare kweli mimi ni mkristu na ninaabaudu na kusadiki kanisa Takatifu katoliki la Mitume Toka uchaguzo umeanza umeisha yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wote tumeona na kwa namna moja ama nyingine tunaona tumeguswa kila namna hata kama sio ya moja kwa moja...
  5. Mahakama Kuu ya Kenya yasitisha katazo la Jeshi la Polisi kupiga marufuku maandamano ya umma

    Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha uamuzi wa Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa nchi hiyo Douglas Kanja, wa kupiga marufuku maandamano ya umma yaliyopangwa na vijana wa Kenya katikati ya Jiji la Biashara la Nairobi (CBD). Jumatano jioni Inspekta Jenerali wa Polisi alitangaza kupiga marufuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…