kupika wali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kupika wali kwenye gesi usiwe kama ugali, yaani uwe wa kuchambuka

    Wataalamu naombeni uzoefu wenu nataka nitoe kitu Cha kuchambuka kwenye gesi
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kupika vizuri wali kwa kutumia jiko la gesi

    Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika wali wa kuchambuka kwa kutumia jiko la gesi. Mara nyingi ninapopika, wali wangu unatoka mzito na kushikana kama ugali. Naomba maelezo ya hatua kwa hatua, ikiwemo uwiano sahihi wa maji na mchele, kiwango cha moto, na muda wa kupika ili nipate wali...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hajui kupika wali

    Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE. Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama. Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu. Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

    Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri Mahitaji Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula Hatua ya...
  6. JamiiForums Tanzania Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  7. JamiiForums Tanzania Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

    Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupika ilikuwaje? Ulichopika kiliiva?

    Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko😂😂. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko. Vipi wewe, siku ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…