Taarifa ya Kamati ya haki, maadili na Madaraka ya bunge iliungwa mkono na Spika wa Bunge kabla ya kuanza kujadiliwa na bunge (baada tu ya Mwenyekiti wa kamati kutoa hoja). Tafsiri ni kuwa ilielekeza wabunge nini kinachotakiwa na Spika. Muelekeo ulikuwa ni kuunga mkono hoja na sio vinginevyo...