Personally nadhani ndoa ziko overated siku hizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi.
Wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani it's better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this...