Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
afrika na ulimwengu
damu
dhana potofu za upendo
falsafa ya mapenzi
koo
kujiheshimu
kujitambua
kuoakuoanakuolewakuolewa
mahusiano
mashariki ya kati
maumivu ya mahusiano
ndoa za mchanganyiko
tamaduni za waarabu
tamthilia za mapenzi
ubaguzi wa koo
ubaguzi wa rangi
uhusiano wa kimataifa
usawa wa kijinsia
waarabu
waarabu na waafrika
wanawake wa kiafrika
Ndugu zangu salaam
Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano.
Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae.
Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto.
Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni...
Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai:
"Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa kwamba miaka 14 kwa miaka 18, basi iwekwe ukomo kwa mtu kuolewa na kuoa kwasababu tumekuwa na taifa...
Kukaa kwenye dawati kufungua ukurasa kwa kwanza tu wa kitabu cha mtihani wa Utu Uzima. Hilo swali la kwanza. Jadili.
Hakuna kuchagua na hakuna "kweli si kweli". Yaani watu wanafunga ndoa ili kiwe nini. Kuzaa watoto? Kupata free kula/la/na? Kuwa na hadhi katika jamii? Kutimiza wajibu? Au ni ile...