Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Matumizi Yako Ni Yapi?
Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi.
2. Processor (CPU)
Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
USINUNUE LAPTOP MPYA KABLA HUJASOMA HII MAKALA MWONGOZO WA 2025 KWA KINA
Kununua laptop si tu suala la bei au jina kubwa. Ni uwekezaji. Na kama ilivyo kwa uwekezaji wowote — unahitaji maarifa sahihi kabla hujafanya uamuzi. Watu wengi hujuta baada ya kununua laptop ambayo haiendani na mahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.