Mgombea Urais wa Chama cha AAFP, Kunje Ngombale Mwiru, amesema amechoka na simu za vitisho na amepanga kuvunja kampeni, "endeleeni na Chifu Hangaya wenu, niuwe leo, wewe utakufa kesho", alisema jijini Dodoma alipokuwa akijinadi kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza serikali, atahakikisha anajenga kiwanda cha saruji mkoani Mwanza ili kupunguza gharama za ujenzi.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wilayani Misungwi, Kunje alibainisha...
"Ili kukomesha ufisadi nitawaambia Idara ya usalama wa Taifa ndani ya miezi miwili wajenge bwawa la mamba pale Ikulu ili mtu akigusa kitu cha umma aogope na akiheshimu, akitumia vibaya atakumbana na bwawa la mamba pale Ikulu yangu" - Kunje Ngombale Mwiru Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima...
Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, ameahidi kununua helikopta kwa kila wilaya nchini zitakazotumika kusaidia shughuli za uokozi kwa Watanzania watakaokumbwa na mafuriko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.