Mnada au gulio la Kunduchi unaofanyika mara moja kwa wiki ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya Kunduchi na bahari beach!
Kero hii pia inapatikana maeneo ya Boko katika mnada wa chama!
Hivyo kwa wakazi wa Mbweni Ununio na maeneo ya Bunju wanakumbwa na dhahama ya foleni Mara mbili...