Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama, Emmanuel Cherehani amehoji utaratibu wa mgonjwa kulipia fedha ya kwenda kumuona daktari katika hospitali za Umma hapa nchini ambapo amedai wagonjwa hulipishwa kiasi cha shilingi 5,000 mpaka 30,000.
Soma pia: Dkt. Seif Shekalaghe: Marufuku hospitali kudai fedha...