Sasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu...