Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !!
Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Jamani naombe muongozo wa hatua za kuchukua napotaka kumiliki gari..!!
Ndio umeliki wangu wa kwanza kwa hatua ya gari. Ni kampuni ipi nzuri ya kuanzia, Toyota, Subaru au nyinginezo ambazo zijaziusisha hapo?
Kwa sisi tunaonunua Used...
Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari.
Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts.
1. Crown Athlete
2. Mitsubish...
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc?
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.