kumbukizi ya magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Rais Samia achangia milioni 100 ujenzi wa makumbusho ya Hayati Magufuli

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 100 ili zikamilishe Ujenzi wa Makumbusho ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli yaliyopo Chato Mkoani Geita. Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema hayo leo March 17,2026 wakati akiongea kwenye Kumbukumbu ya...
  2. Cute Wife

    GE2025 Magufuli na vijana wa ovyo: Kijana mpenda rushwa, tapeli, asiyejifahamu ni aina ya vijana wenye mchango mdogo sana katika taifa na chama!

    "Kijana ambaye ni mpenda rushwa, mwizi, fisadi, tapeli, mvivu, mtumia madawa ya kulevya, asiyejifahamu, nk, aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana katika taifa na hata kwenye chama." - Magufuli Hii ndio aina ya vijana waliojaa CCM na CCM-B zote, chawa wasio na maana wanaouza wenzao ili...
  3. Barca

    Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita na Danis Mpagaze

    Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita! Denis Mpagaze _________________________ Ni mwaka wa nne sasa Mzee John Pombe Magufuli amelala! Namisi sana ziara zake, hotuba zake, utani wake, ukali wake, Kiswahili chake na ucheshi wake! Magufuli aliongozwa na mambo sita! Nimeyaita Umagufuli...
  4. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
Back
Top Bottom