kumbukizi magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Kumbukizi} Magufuli: Kukupa hela ili umchague amekudharau; na hiyo ni dalili ya mwanzo kuwa si kiongozi mzuri

    Kumbukizi moja nzuri sana kutoka kwa JPM wakati akizungumza kwenye moja ya mkutano wa CCM pale Dodoma Na hii inatuonyesha CCM ya sasa ilivyo honga wananchi Baiskeli na hizo pikipiki ili wachaguliwe, hakika imetuonyesha viongozi hao wamewadharau sana Na usitegemee kupata maaendeleo ya kweli...
  2. R

    Kumbukizi Magufuli: Tumerogwa na nani?

    Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya! Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
Back
Top Bottom