Madereva wa bodaboda na bajaji wa Wilaya na Mkoa wa Singida wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhubiri amani na utulivu, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa kutambua kuwa shughuli zao hutegemea uwepo wa usalama na utulivu nchini.
Wito huo umetolewa Oktoba 17, 2025 na Mkuu wa...