Watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Simiyu huenda wakakosa kurejeshewa majina yao kwenye mchakato wa kuteuliwa, kufuatia tuhuma za matumizi ya fedha kwa ajili ya kushawishi wajumbe na kufanya mikutano isiyo rasmi na madalali wa kisiasa.
Taarifa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yasinta Kafulila amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini mkoani Kigoma.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Yasinta amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025, na Katibu wa CCM Wilaya ya...
My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania
Rais Samia Suluhu...
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es...
Hashim Rungwe Spunda, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa kuhusu Jeshi la kujenga Taifa (JKT) kupata chakula na huku akiona hakuna umuhimu wakuwa na Jeshi hilo na akipendekeza pia Wanafunzi wapewe chakula.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Oktoba 19, 2024, ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Akiwa ameambatana na mkewe Mama Mary Majaliwa, alijiandikisha katika shule ya msingi Nandagala...
Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya Senegal.
Cha kufanya CHADEMA ni kutokulaza damu kuanzia sasa hivi mpaka uchaguzi mkuu 2025.
1. Maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.