Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
Leo mchana nilikuwa nimechoka na kazi ngumu nikasema acha nikajifidie hata masaa sita nikalale.
Nikajikuta nimeishia saa moja japo kuwa usiku mzima nyuma yake sikulala kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.