Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya kuingia madarakani, kipaumbele chake kitakuwa kuwawajibisha wote walioiba mali za umma.
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 3, 2024 katika Wilaya ya Ilemela, wakati wa mwendelezo wa kampeni za mtaa kwa mtaa...