Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
Rais wala hahujumiwi kuhusu utekaji na maovu. Haya matendo anayalea na upo uwezekano kuwa watu wake wa karibi wanaguswa kwenye matukio.
Rais Samia angekuwa anatoka hadharani kukemea mambo haya na kuchukua hatua vilivyo basi tungesema anahujumiwa. Lakini hasemi wala hakemei na watu wanafanyiwa...
Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea.
Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.