MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA.
Soma pia: Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16
Chanzo: Daily News...
Ikiwa bado hujajiunga na CCM, basi fanya hivyo mapema sasa, hujachelewa bado, na mara moja pamoja na wanachama wengine wazalendo, uanze kazi za kuwajibikia ujenzi wa Taifa lako, lakini pia uanze hatua muhimu za kufanikisha fursa, katika kufikia ndoto na matarajio ya maisha yako katika dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.