Kubali au ukatae, Dunia ni ya mwanaume,kila kilichomo ulimwengu kipo kwenye control ya mwanaume.
Kila anachofanya mwanamke ujue kimeanzishwa na mwanaume.
Kwanza niwasalimie,lakini pili nichukue nafasi hii kuwapongeza wale ambao tunafuatilia world cup, Hadi hii Leo timu ziko semi final...