kujisifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  2. Tauceti Rigel

    Aina za Watu Wanaoweza Kukuchosha Ukiwa nao kwa Muda Mrefu: Mafunzo ya Maisha Katika Mazingira ya Kitanzania

    Katika maisha ya kila siku, tunalazimika kuishi, kufanya kazi, au kushirikiana na watu wa kila aina. Wapo wanaotutia moyo, wanaotufanya tucheke hata tukihisi kuzidiwa na mzigo wa maisha; lakini pia wapo wanaotuchosha kwa maneno yao, tabia zao, au hata hulka zao ambazo, kwa dakika chache tu...
Back
Top Bottom