kujiondoa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Huyu Benson Kigaila akikutana na Bensoni Kigaila wa leo aliyetangaza kujiondoa CHADEMA mbona itakuwa wewooo

    Nimekutana na clip ya Benson Kigaila wa enzi hizo akisema kuwa ikifika 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi, halafu kuna huyu anayesema kuwa kutoshiriki uchaguzi ni kutaka CCM ipite bila kupingwa, wakikutana watazichapa sana. Hitimisho: Njaa...
  2. M

    PreGE2025 Sekretarieti ya Mbowe kuhama haina athari kama ilivyokuwa kwa covid 19. Hawa ni uchwara

    Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa...
Back
Top Bottom