kujifungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Morogoro: Daktari Kituo cha Afya cha Mikumi mbaroni kusabisha mjamzito kujifungua kwenye bajaji

    MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj. Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kujiandaa baada ya mke wako kujifungua?

    Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo mtu mzima majukumu ndo haya. So nisaidie maswala muhimu kipindi kajifungua.
  3. JamiiForums Tanzania Msongo wa Mawazo Baada ya Kujifungua

    Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…