kujenga msikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Samia Usitumie kodi za wananchi kujenga msikiti Arusha.

    Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee. Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuchangisha Pesa ya kujenga msikiti kutoka wa wakristo kanisani ni sahihi ? Tuone video

    Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya Makafiri ikajenge msikiti ? https://youtu.be/dgtbhL0K8gA?si=qEayIB2FhFQcMpjs
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…