Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana!
Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm.
Ama hakika CCM inakubalika sana.
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida.
Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.