Jirani wa kwanza yeye ana shamba lake la mahindi sasa mbwa wake amezaa akawa anasubiri nikienda kazini anakuja kumuazima wife kambwa changu kisa kanabweka anakachukua anaenda nacho shamba kwenda kulinda dhidi ya tumbili. Sijui kama huko anampa chakula au hampi ila jioni anamrudisha imagine mbwa...
Wakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji. Sasa naona kasheshe ya kukaa nyumba moja na wanafunzi plas mdada ambaye pesa yake kutoa mpaka bwana wake amzingatie.
Watu wanakera sana sana sana. Ishu imekua changamoto hapa ni umeme yaani umeme unaisha kama kuna mpangaji anakunywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.