kuhujumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Morogoro: Mahashrey na wafanyabiashara wa ufuta wanavyoshirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kuhujumu mfumo wa stakabadhi ghalani

    Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaogopa nini kwa kuhujumu mara kwa mara hadhi ya China kama nchi inayoendelea?

    Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine la kupinga hadhi ya nchi inayoendelea ya China katika Shirika la Biashara Duniani WTO. Kwa kujibu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kuhujumu Uchumi na Ulanguzi

    Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chini wame store bidhaa za kila aina. Je, hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

    Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania. Hutaki CCM iondoke madarakani Hizi porojo acha kutuletea 👇
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara na viongozi wa ccm kata ya Loya jimbo la Igalula,Acheni kuhujumu ukarabati wa Bara Bara KWA kumhonga mkandarasi!!

    Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi ! "Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi itakarabatiwa kama KAWAIDA lakini Kila mwaka wanaipapasa tu halafu mvua zikianza kunyesha tu...
  7. JamiiForums Tanzania Tuwajue na kuwatambua wanaotaka kulihujumu Taifa kwa kukwamisha zoezi muhimu la sensa

    Hakuna asiyejua umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya Taifa letu. Serikali imetenga fedha nyingi sana kwa ajili ya sensa kutokana na umuhimu wake katika nchi yetu Lkn kuna watu wanaikwamisha serikali katika kutimiza adhima hii muhimu. Leo nikiwa kijijini nilikoenda kupumzika katika likizo yangu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

    Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wa wapiga picha waliokuwa kwenye msafara wake kwa kushindwa kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika kumpokea. Rais Samia akiwa Njombe amelazimika kuwaagiza wapiga picha kupanda juu ya magari ili waweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…