kuhonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanyeje ili nijue kuhonga

    Habari ya leo jamani, Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu. Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa. Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu lazima nimpatie Hadija wangu walau elfu tano ya kununulia lip shine na kusafishia kucha, ila mwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

    Habarini wana jamvi. Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu. Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu. Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu. Nb...
  3. JamiiForums Tanzania Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

    Habari zenu jamani JF, Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau? Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…