Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza na kuionesha rasmi kadi ya gold (Gold Card au Trump Card) yenye sura ya Trump ambayo itagharimu USD milioni 5 (Tsh. bilioni 13.375) ambapo Mtu atakayenunua atapata fursa ya kuwa na makazi ya kudumu nchini Marekani kama ilivyo kwa Watu wenye green card...