LUCY KOMBA AOMBA MSAMAHA KUHAMASISHA MAANDAMANO
Badala ya kumkebehi au kumdharau kwa kujishusha na kuomba msamaha, tujifunze kwamba kuomba msamaha ni ishara ya ujasiri na uwajibikaji.
Pia tukumbuke kuwa nyumbani ni nyumbani. Tunaweza kwenda sehemu mbalimbali kutafuta fursa au kuishi, lakini...