Kwanza kabisa niwasalimu kwa salamu ya kitaifa, KATIBA MPYA WANA JF.
Kimsingi nimekuwa nikijalibu kupata taarifa mbalimbali za huduma za magereza duniani.
Unapozilinganisha na za magereza zetu unaona ni kwa jinsi gani hali ilivyo mbaya kwa magerza zetu. Na kwa kuwa lengo la kuwa na magereza...