kufungiwa ali kamwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ally Kamwe kufungiwa itatoka lini?

    Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club. Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini? Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi kuhusu Derby? Ili wazitoe kwa pamoja ili taarifa moja itumike kufunika taarifa nyingine? Soma Pia...
  2. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe kosa la kwaza ulilianzia hapa

    1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi 2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea...
  3. JamiiForums Tanzania Marefa mnawafungia mechi 2-4, hao wasemaji wanao waambia ukweli na udhaifu wenu mnawafungia miaka miwili mna akili kweli nyie?

    Hili soka la hii nchi linashangaza sana. Kuna majinga yanaingia uwanjani na matokeo yaoo kisa mabosi wa Mpira wamewambia hakikisha hii timu inashinda. Refa anafanya ujinga uwanjani. Anaicost timu mashabiki wanaumia wanateseka unaambiwa Refa kaaribu muwakanye unatishia kufungiaa watu hamtaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…