kufungia mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  2. Bandwith zinatisha nikama marudio ya Uganda sema Tanzania ilitumia hekima sana

    Jf tunajua mkiwa genge la CCM sana mpaka mada JF cheki na uchaguzi ila mnataka kubadilisha watu na kufuta maneno. Naomba uzi wangu wa dotto magari ambao una video kule bungeni. Kikosi chenu kimeonesha kuwa hapa JF mna kikindu cha kuuza siri za watu na leo mnafuta siri za watu
  3. PreGE2025 Serikali acheni kumtumia Mwamposa kutafuta uhalali wa kudhibiti na kufungia mitandao ya kijamii

    Wakuu, Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu na kudhibiti mambo ambayo watu wanaona! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ya kijamii ambayo ni...
  4. Kenya yaripotiwa kufungia mtandao wa Telegram ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya. Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...
  5. Wakati tunamshukuru alivujisha mkataba, tujiandae pale watakapozima mtandao!

    Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo. Wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kudhihirisha hisia hizo. Sasa hofu yangu kwa sasa ni juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…